Frage zum Produkt senden

Um uns eine Frage zu diesem Produkt zu schicken, füllen Sie einfach alle mit * markierten Felder aus und klicken Sie auf "Absenden".

"Jina Lako Ni Mpatanishi"
Artikel-Nr.: 978-3-87214-909-1
15,00
Preis inkl. MwSt., zzgl. Versand
Maisha Na Kazi Ya Isaya Orishi Olentokoti
Isaya Orishi Olentokoti
Mafanikio ya Isaya ni makubwa. Kutokana na mahubiri yake na ushauri wa kiroho maelfu ya watu wametafuta na kupata ubatizo katika Kanisa la Kiinjili la Tanzania. Pia wamekubali mabadiliko mengi katika hali ya maisha yao. Kitabu hiki kimeandikwa ili sisi na kizazi kijacho tuwe na kumbukumbu ya haya yaliyochangia kwa[nbsp] sehemu kubwa kuwafanya Wamasai kuuongokea Ukristo. Lengo lingine ni kuwasaidia wachungaji, wainjilisti na mkristo yeyote yule kuona nuru katika giza la maswali mazito. Katika mafundisho yake, Isaya hugusa maswali yanayohusu dini, mila na desturi za Wamasai. Je, afundisho yake Isaya ni halali? Au anachanganya mambo yasiokwenda pamoja?


[nbsp]

Auf Lager
Lieferzeit: 3 Werktage


Ihre Frage an uns
Name
Telefon
Wenn Sie Ihre Telefonnummer angeben, rufen wir Sie auch gern zurück.
E-Mail-Adresse *
Frage *

Datenschutz: Ihre Angaben werden nur benutzt, um diese Anfrage zu beantworten. Wir werden diese Daten keinesfalls zu anderen Zwecken verwenden. Weitere Informationen finden Sie unter Datenschutz.